Kuna mtumishi mmoja wa idara moja hapa mbulu ameolewa na mume wake yuko Arusha mjini. Kwa ufupi ni malaya kupindukia hadi sisi watumishi wenzake tunaona aibu kwa anachokifanya kutokana na tabia yake ya umalaya na ulevi kupindukia.
Katika kutembea na wanaume mbalimbali akaangukia kwenye mikono ya mwanaume mmoja ambaye kwa kifupi pia ametuudhi sana. Ameingia ndani ya geto la kidume akagaduliwa kuanzia sebuleni mpaka chumbani.. Sasa sijui ni kwa sababu ya kunogewa au ulevi yule bwana akampiga picha za uchi kuanzia akiwa sebuleni mpaka chumbani wakiwa uchi na yule bwana
Japo mwanaume anaonekana alikuwa smart sana kwani yeye hakujipiga mwili mzima isipokuwa yule mwanamke akiwa uchi wa mnyama kitandani mpaka sebuleni mpaka sehemu za siri zikionekana.. Kwa Bahati mbaya picha toka Kwa yule jamaa zikavuja zikasambaa mtaani mpaka Mume wake alizipata..
Hatujui mume wake ameamua kufanya nini ila inavyoonekana yule bwana ameamua kukaa pembeni.. Tatizo yule mwanamke amemchukia kila mtumishi Kwa kisingizio kwamba ndo waliovujisha issue... Anaishi maisha magumu sana rohoni japo anaonekana kuwa na roho ngumu sana...
Ningeweka picha hapa ila sheria hairuhusu Kwa sasa... Naomba ushauri wanajamvi tumsaidieje mwenzetu ili arudi katika hali yake? Picha hazifai ni za aibu sana isitoshe pia ni mtumishi tena wa serikali wa miaka mingi.. Tunaomba mawazo yenu
Ingekua bado tupo uongozi wa zamani ningemshauri tuu aombe likizo akapumzike kidogo akirudi itakua imesahaulika kimtindo....... Ila kwa kua haiwezekani basy amrudie tuu mungu wake.....
Na akae akijua kwamba dhambi ina aibisha sana wakati wa kuku umbua
Picha ninazo na watu wengi wanazo ila humu haifai ni noma Kwa sasa kwa sheria ya juzi.. Ila zilitembea whatsap magroup ya kutosha.. Cha muhimu ni ushauri kwa sasa