Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,238
- 4,807
Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamba wakifiwa .Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye kinag'anyiro.
Mussa Magege inasemekana baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya B'mulo miaka hiyo Je atafurukuta?