Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 3,889
- 6,962
Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu.
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔
Nimewamiss wana jukwaa😍🙂↕️😔