GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Wengjne wote ambao nilikuwa nikiwasikia na kuwafuatilia Wao ikifika sehemu ya kusema hali ya Bahari itakuwaje walikuwa wanasema Kiuhuruma na kama vile kuogopa Kutisha Wananchi ila Kudadade huyu Jamaa wa leo sijui ni Poti wangu kutoka Mkoa wa Wanamume pekee Tanzania nzima wa Mara ( Musoma ) au kwani hakutaka hata Kupepesa au kututia Moyo au kuwa Mnafiki bali kaenda moja kwa moja kwa kusema kuwa Hali ya Bahari itakuwa Mbaya na hadi Sura yake akaikunja vile vile ili kuonyesha Msisitizo.
Nimemkubali sana kwani GENTAMYCINE huwa napenda mno Watu ambao huwa Wananyooka na siyo Wanafiki Wanafiki.
Nimemkubali sana kwani GENTAMYCINE huwa napenda mno Watu ambao huwa Wananyooka na siyo Wanafiki Wanafiki.