Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,350
- 7,798
Jamaa anaonekana ni kama ana tatizo la kisaikolojia.
Amekuwa akijirekodi na kujirusha katika mitandao ya kijamii akinywa pombe kali mbalimbali. Style yake akiweka chupa mdomoni hatoi mpaka ahakikishe kinywaji kimeisha.
Mnaomfahamu, huyu kijana anahitaji msaadana ushauri wa haraka la sivyo uhai wake upo mashakani.
Lakini hata vyombo vya dola vimzuie ikiwemo kumkamata. Huyu mtu anahatarisha uhai wake kisa kutafuta follwers mitandaoni.