Huyu hapa anayetazamiwa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza mwenye Asili ya Asia

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
14,648
24,022
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
1585136845.png

Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.

Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.

Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
 
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584

Waangalie yeti na zenji yasije wakawakuta hapa.

Hiiiiiiii !
 
Rishi Sunak pichani chini anategemewa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza.
View attachment 2396584

Sunak alizaliwa katika mji wa Southampton mnamo mwaka wa 1980.

Wazazi wake wana asili ya nchi ya india, walihamia nchini Uingereza wakitokea nchini Tanzania kwenye miaka ya 1960.

Huyu jamaa ndiye anatizamiwa atakuwa Waziri mkuu mwenye asili ya india na wa kwanza kushika madaraka hayo makubwa nchini Uingereza.
Baba yake ni mkenya

Mama yake ni Mtanzania wa Tanganyika
 
Huyu mhindi, acheni upotoshaji eti ana nasaba ya Tanzania. Watanzania wa kuzaliwa waturutumbi mnawanyima uraia pacha mnajidai huyu mhindi ni ana nasaba ya Tanzania... Kazaliwa Uingereza ni muingereza mwenye asili ya India....period.
Wazazi wake ni mkenya na Mtanganyika wa Tanzania acha mambo yako ya hovyo kbsa
 
Back
Top Bottom