Kuna siku nilichalala kipesa nikaamua kumuomba demu wangu aniazime 10,000/= akanipa.
Baada ya siku mbili nikapata pesa zaidi ya laki nne hivi, nikaamua kumpa 100,000/= mpenzi wangu bila yeye kuniomba.
Baada ya siku 3 akaja kuniambia:- B, ile 10,000/= niliyokuazima mwenyewe amekuja kunidai, so kama unayo naomba unipe nimrudishie maana ananisumbua leo siku ya 3"
SAA HIZI NIPO ZANGU SINGLE NATAFUTA DEMU MWINGINE.
Wanaume wa dar bhana...
Acha kulegeza sauti vepee ndio nini?
Kazaa mtoto wa kiume we seme sijui vepee alafu watu waanze kutumia maneno wakijua ndio wale waliotangaziawa vita juzi na Kigwangala
Wanaume wa dar bhana...
Acha kulegeza sauti vepee ndio nini?
Kazaa mtoto wa kiume we seme sijui vepee alafu watu waanze kutumia maneno wakijua ndio wale waliotangaziawa vita juzi na Kigwangala