RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,776
ila ukiokoka ili umpate mtu unakuwa unamchezea munguKubali kuokoka uwe kama yeye anaweza kukuelewa.
uuu ndugu yangu huyu binti ata simu hapokea na sms hajibu sasa atakuelewajeUkiwa mvumilivu atakuelewa tu
Huenda ni Mungu anakuvuta kwake kupitia huyo binti. Okoka na utapata dhawabu ya kumpata huyo binti.duuuu
ila ukiokoka ili umpate mtu unakuwa unamchezea mungu
Siku zote binadamu husikia au kuangalia kile anachokitaka yeye,na hata kufanya uamuzi fulani huwa anayafanya pindi atakapoona ni muda muafaka. Kutopokea simu huwezi jua kwann huenda anakupima, anakuwa busy au anakuona msumbufu,jaribu kumtafuta muonane ana kwa anadu
uuu ndugu yangu huyu binti ata simu hapokea na sms hajibu sasa atakuelewaje
thanks a lotSiku zote binadamu husikia au kuangalia kile anachokitaka yeye,na hata kufanya uamuzi fulani huwa anayafanya pindi atakapoona ni muda muafaka. Kutopokea simu huwezi jua kwann huenda anakupima, anakuwa busy au anakuona msumbufu,jaribu kumtafuta muonane ana kwa ana
uuu ila nampenda saaaaaanahujamdanganya vizuri
wanawake wote wanadanganyika
Okoooooka ndugu yangu ili uweze kuwin utamuKuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.
Valentine hajui hata maana yake nini, sio mtoto ni first year wa chuo kikubwa Tz. Ukweli nampenda na yeye alikuwa ashaanza kunizoea lakini sasa mtoto kabadilika hapendi kupokea simu yangu, hata sms zangu hajibu. Ukweli nampenda sio kwa ajili ya kumchezea ila anaonekana ana sifa ambazo napenda mke ambaye ntamuoa awe nazo.
Nifanyeje ili niweze kumpata huyu mlokole kama issue ya dini me ni mkatoliki.
Kamsemee kwa Gwajima au LusekeloKuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.
Valentine hajui hata maana yake nini, sio mtoto ni first year wa chuo kikubwa Tz. Ukweli nampenda na yeye alikuwa ashaanza kunizoea lakini sasa mtoto kabadilika hapendi kupokea simu yangu, hata sms zangu hajibu. Ukweli nampenda sio kwa ajili ya kumchezea ila anaonekana ana sifa ambazo napenda mke ambaye ntamuoa awe nazo.
Nifanyeje ili niweze kumpata huyu mlokole kama issue ya dini me ni mkatoliki.
Sasa si umwambie unataka kumuoa, kuoa sio dhambi na yeye atakupa masharti yake na msimamo wake kama anakupenda maana sio lazima na yeye akupende. Then kwani wewe unataka ajue hayo mambo unayoita ya kidunia au umempenda unataka kumuoa?Kuna dada mmoja wa kilokole, tunasoma nae hapa chuoni, nimetokea kumpenda tena sana. Lakini huyu dada hanielewi kabisa, yeye mambo ya kidunia hajui hata kidogo. Mitandao ya kijamii huwezi kumkuta japo ana simu inayoweza kuaccess hiyo mitandao.