GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
DAR ES SALAAM - Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Prof. Mohamed Janabi amesema mtuyeyote ambaye ana kiharusi (stroke) hapaswi kufanyiwa masaji na badala yake anahitaji mazoezi ya viungo.
“Mtu anapofanyiwa masaji hupumzika na mara nyingi husinzia … kwa vyovyote vile kama una stroke hauhitaji kupumzika kwa kuwa eneo hilo tayari limepumzika unahitaji mazoezi,” amesema Prof. Janabi.
Chanzo: habarileo_tz
Na bado hata kwa hili utaona kuna Mijuha itakubishia tu Mtaalam wangu ambayo nakubaliana na uyasemayo 100%