Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,334
Sina haja ya salamu, nasema na wewe mwenye hela halafu huhongi, sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na hela zote hizo?
Unatakiwa utandikwe viboko kichwani ili akili zikukae sawa, watu wengine sijui wapoje, una magari, assets, pesa n.k halafu unaokota demu halieleweki eti unaoa? Kuna pisi kali wangapi mjini?
Ningekuwa na uwezo ningewambia wanawake wote wawakatae masikini na wote wasiohonga, shwaini!!
Hakuna vya bure jamani wanaume tubadilike, una hela honga, kama huna tafuta uhonge!!!