NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,983
- 21,083
"Ana tabia ya kuamka na kukaa kwenye Giza totoro Kwenye kitanda kingine,hufungua madirisha usiku was kiza kinene Hadi pale sim inapopigwa kwa namba 70,ndio huamka na kuipokea huku akisimama na kwenda katikati ya mlango wa nyumba kutokea nje akiwa ameufungua mlango huanza kuongea Kwa kunong'ona Kwa muda ,wakati huo kifua wazi na matiti nje huku akiwa na kikoi chekundu kiuoni pekee,
"Wakati mwingine macho yake hubadilika na kuwa makubwa meupe sana na mboni ndogo sana nyeusi,ni kana kwamba macho haya Huwa makubwa sana na kufunika sockets zote na ku cover eneo lote la macho makubwa mno!ukweli ni kwamba namuogopa sana mama na sijui Nini anafanya!!
"Anakaa kizani Totoro madirisha wazi huku akitazama nje hadi namba 70 ipige ndio hutoka na kufungua mlango na kusimama hapo ataongea hadi mwali wa mwanga mkali sana hujitokeza ndio humaliza mazungumzo na hayo macho hubadilika na kung'aa Dana makubwa na hutisha sana!!
Haya ni maneno ya binti mdogo akimueleza baba yake mdogo kuhusu mama yake yaani mke wa kaka yake!!binti mwenye umri wa miaka 11 hivi!!
Ndugu Mshanar Jr,Rakims n.k njooni mnisaidie ni kitu Gani hiki kinatokea Kwa huyu mama Kila mara na hutokea siku zisizo na mbalamwezi yaani nyakati za kiza kinene sana!!
Wajuvi mje sasa!!!