Huu wimbo wa Rihanna "Te Amo" una ujumbe gani?

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,746
26,645
Wakuu,

Huu ni mmojawapo ya nyimbo nzuri za Rihanna na ni wimbo ninaoupenda,

Naomba mnifafanulie ujumbe uliokusudiwa na Rihanna kwenye huu wimbo wake Te Amo!

Alikusudia kutupa ujumbe gani katika huu wimbo?

Naweka na mashairi yake hapa;

Te amo, te amo
She says to me
I hear the pain in her voice
Then we danced underneath the candelabra
She takes the lead
That's when I saw it in her eyes, it's over

Then she said, "Te amo", then she put her hand around me waist
I told her, "No", she cried, "Te amo"
I told her, "I'm not gonna run away, but let me go"
My soul is awry
Without asking why, I said, "Te amo"
Wish somebody'd tell me what she said
Don't it mean I love you?
Think it means I love you
Don't it mean I love you?

Te amo, te amo, she's scared to breathe
I hold her hand, I got no choice, uh
Pulled me out on the beach, danced in the water
I start to leave
She's begging me and asking why it's over

Then she said, "Te amo", then she put her hand around me waist
I told her, "No", she cried, "Te amo"
I told her, "I'm not gonna run away, but let me go"
My soul is awry
Without asking why, I said, "Te amo"
Wish somebody'd tell me what she said
Don't it mean I love you?
Think it means I love you
Don't it mean I love you?

Listen, we can dance
But you gotta watch your hands
Watch me all night, I'm moving under the light because I understand
That we all need love
And I'm not afraid
To feel the love, but I don't feel that way

Then she said, "Te amo", then she put her hand around me waist
I told her, "No", she cried, "Te amo"
I told her, "I'm not gonna run away, but let me go"
My soul is awry
Without asking why, I said, "Te amo"
Wish somebody'd tell me what she said
Don't it mean I love you?
Think it means I love you
Don't it mean I love you?
I think it means I love you, I love you

Te amo, te amo
Don't it mean I love you?

Source: Musixmatch
 
Ni wimbo kuhusu mdada anayetongozwa kimapenzi na shosti yake lakini yeye hataki mahusiano hayo zaidi ya urafiki. Inavyoonekana huyo shosti ni msagaji na ametokea kumzimikia hivyo anashawishi wawe wapenzi.

Kwa upande mwingine, huu wimbo ni moja ya nyimbo za WLC (Women Loving Women) ambazo kwa Marekani na nchi zilizoendelea ni kawaida kabisa.

Wengine wanaweza kudai Rihanna alilipwa na Chama cha Wajinsia (LGBT) kuimba wimbo huu kwa lengo la kuwatangaza.
 
Si kweli, Huo ni mtazamo wako tu. Lakini Rihanna alisimama upandewa mwanaume ambae anamtaka Mwanamke. Katika sanaa ya muziki hicho sio kitu kigeni, kama wewe ni muhenga utajua kua waimbaji wa dansi wa kiume walikua wanajiimba kama wanawake. Hebu sikiliza wimbo wa Samba Mapangala _ Marina utasikia anavyoimba na nyingine nyingi tu za dansi
 
Kaka umesoma hayo mashairi? Mbona yako open kabisa? Na video yake umeitazama?

Mtazamo wako ni mzuri lakini uko tofauti na maudhui ya huu wimbo!
 
Si kweli, Huo ni mtazamo wako tu. Lakini Rihanna alisimama upandewa mwanaume ambae anamtaka Mwanamke. Katika sanaa ya muziki hicho sio kitu kigeni, kama wewe ni muhenga utajua kua waimbaji wa dansi wa kiume walikua wanajiimba kama wanawake. Hebu sikiliza wimbo wa Samba Mapangala _ Marina utasikia anavyoimba na nyingine nyingi tu za dansi

Pinga Pinga FC
 
Ni wimbo kuhusu mdada anayetongozwa kimapenzi na shosti yake lakini yeye hataki mahusiano hayo zaidi ya urafiki. Inavyoonekana huyo shosti ni msagaji na ametokea kumzimikia hivyo anashawishi wawe wapenzi.

Kwa upande mwingine, huu wimbo ni moja ya nyimbo za WLC (Women Loving Women) ambazo kwa Marekani na nchi zilizoendelea ni kawaida kabisa.

Wengine wanaweza kudai Rihanna alilipwa na Chama cha Wajinsia (LGBT) kuimba wimbo huu kwa lengo la kuwatangaza.
Asante kwa maelezo mazuri,kwahio hapo mdada mmoja ni Msagaji(lesbian)anajaribu kumshwishi mwingine?

Ila hapo mwishoni naona kama yeye (Rihanna) hajakubaliana na kupendwa(kimapenzi)hivyo anakataa,sasa kama amelipwa kupromote mbona hapo alipokataa ni kama kaharibu deal?
 
1. Naam
2. Hiyo kukataa inaweza kuwa ni reverse psychology tu au mind game. Watu wa PR wanajua vizuri zaidi. Controversy sells.

NB: Ambacho kipo tofauti ni video. Yenyewe inaonesha wamekubaliana ndio maana wanashikana shikana sana.

Mchongo si mchongo?
 
mdada anamuelewa mkaka (kama sio mdada) lakini anayependwa hataki kabisa, mdada anaongea kwa uchungu,nakupenda,ila apendwaye haoni umuhimu
ki ufupi ni kuhusu upendo ambao haujawa receprocated
Asante,Kwahio inaweza kuwa anampenda mwanaume pia?Japo kwenye video wanaonekana wadada watupu?
 
Si kweli, Huo ni mtazamo wako tu. Lakini Rihanna alisimama upandewa mwanaume ambae anamtaka Mwanamke. Katika sanaa ya muziki hicho sio kitu kigeni, kama wewe ni muhenga utajua kua waimbaji wa dansi wa kiume walikua wanajiimba kama wanawake. Hebu sikiliza wimbo wa Samba Mapangala _ Marina utasikia anavyoimba na nyingine nyingi tu za dansi
Ni kweli sanaa ina mambo mengi ila ukiangalia video kuna wanawake wawili ambao ndio wanacheza,Je hapo walishindwa kuweka mwanaume awakilishe ujumbe?
 
1. Naam
2. Hiyo kukataa inaweza kuwa ni reverse psychology tu au mind game. Watu wa PR wanajua vizuri zaidi. Controversy sells.

NB: Ambacho kipo tofauti ni video. Yenyewe inaonesha wamekubaliana ndio maana wanashikana shikana sana.

Mchongo si mchongo?
Ok,kwahio promotion at work
 
Farolito

Hivi video ya The weekend ile ya save your tears imebeba ujumbe gani ?

Nataka kujua ujumbe wa kwenye video tu sio maana ya nyimbo
 
Back
Top Bottom