Huu wimbo unaitwaje? Kaimba nani?

Alubati

JF-Expert Member
May 29, 2016
6,305
14,150
Anaimba " bwana we .. bwana weee....niambie ukweliii...bwana we ...bwana weee.... nimechoka kudanganywaaaa...
Kiitikio- wacha wacha wacha wacha wacha uongo wako bwanaaa eeeh! Nimeshagundua... na yule jirani ii.. na picha niligundua nikipokuwa nikifua aa...

* Aliimba mwana mama mwenye sauti nzuri, ni wimbo wa zamani miaka ya 90s
 
Unaitwa Bwana wee bwana we. Umeimbwa na Chura Kiziwi.

1725509318253.png
 
Dah! Nipo siriaz mjue....😔😔, nitajieni aisee...
 
kwisha habari yake
Nyie watu wa ajabu sana,nimeomba wimbo kwa nia njema tu, mnaleta maneno hata hayana msaada, jf imekuwa ya ajabu sana siku hizi...sasa hii mipasho inahusiana nini na shida yangu? Kama huna msaada si unakausha tu!sasa niimbe kwa sauti nzuri mimi mwanamuziki?
KKyyummaa vibuyu nyinyi.... mmxxeeew!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom