Huu undugu wa kukutana kwenye misiba tu haufai

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
32,534
47,541
Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.

Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.

Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.​
 
Unapenda kuishi mwenyewe bila ndugu, ingewezekana ungependa ubaki mwenyewe duniani

Nasahihisha, ungetamani wanaume wote tufe umiliki mademu wote

Au ungetamani, kusafiri uende kwenye ulimwengu wa wanawake uwamiliki utuache ndugu zako tunateseka na hii dunia. Acha hizo
 
Unapenda kuishi mwenyewe bila ndugu, ingewezekana ungependa ubaki mwenyewe duniani

Nasahihisha, ungetamani wanaume wote ufe umiliki mademu wote

Au ungetamani, kusafiri uende kwenye ulimwengu wa wanawake uwamiliki utuache ndugu zako tunateseka na hii dunia. Acha hizo
Kuna wakati unajiuliza, mbona tunaishi kama digi digi?
 
Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.

Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.

Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.​
Bado hujakua
 
Nduguuu kila ukoo una haya mambo

Tumezaliwa wa2

Mama kafa 2012 tukaingia mahakaman kaka akataka kuleta umwamba mkubwa vyake hivi na vile tegeta mbwen anadai kwake m nkasote kmr na kibamba wewe

Nkamtengeneza mahakaman ikaamriwa achague mbwen ama tegeta akachagua mbwen nkapewa tegetaa

Akambiwa achague kmr ama kibamba akaenda kibamba nkachukua kmr baada ya hukumu hatukuwahi kuongea wala kuonana mpaka 2019 Baba kafa

Toka hapooo kila akiamka anauliza unaendeleaje hivi vitinbi vipoo

N family curse
Baba kafa aongei na wadogozake
Upande wamama kafa halkuna comm yoyote wenyewe kwa wenyewe na akoo wa3 tu changamoto

Sasa ukiizembea na watoto wenu wanakutana msiban mbele ya safari

Taguta kanisaa lakirohoo karribu waeleze wakuombeee na wewe piaa uikataeee

Hivi ujawahi onaa mzazi tena wameamua ku justify ati wakifwatana hawaelewan mpaka wakue nani kasema
.yaan

Mkianza lambada mapemaaa ndio wanabeba roho za ukooo kuwanadili shuhuli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom