Huu ujumbe wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) una maana gani?

Leo inasoma hivi halafu chs kushangaza kuna mwingine nilikua nimemfanyia application ilikua inaonyesha kapata ila leo inaonyesha kama hivi pia.
Nimeingia kwenye page ya heslb huko Instagram ila wanaulizwa lkn hawajibu chochote.
 
Attachments

  • Screenshot_20241012_165354_Opera Mini.jpg
    74.6 KB · Views: 13
Umeulizia loan breakdown wakati bado hajapangiwa majibu ya kupata au kukosa utayaona kwenye application status.
 
Wapendwa mimi mdogo wangu kapata mkopo.ila kawekewa Ma ..2,450,000 na TU ni 550,000 hiii MA Na Tu inamaanisha nink na je total imereflect 3M ni mkop wa mwaka mzima aua ni nusu mwaka naomba kujua tafadhali
 
MA hiyo maana yake Meals and Accommodation(ndio tunaliita boom) na TU ni Tuition fee (Ada) na hizo kiujumla n amepewa mwaka wake wa masomo 2024/2025 na siyo nusu mwaka
 
Ukisema nime apply mkopo wangu wa kwenda kujiendeleza chuoni utapigwa???? Siku ndugu wakisafiri utamsingizia nani. Kuwa mkweli na mungu wako atakubariki, right!
 
MA hiyo maana yake Meals and Accommodation(ndio tunaliita boom) na TU ni Tuition fee (Ada) na hizo kiujumla n amepewa mwaka wake wa masomo 2024/2025 na siyo nusu mwaka
hv hiz ela za boom wanapewa zote kwa mkupuo au utaratibu ni upi?
 
hv hiz ela za boom wanapewa zote kwa mkupuo au utaratibu ni upi?
hapana hawapewi zote kwa mkupuo. Bali hutolewa kwa awamu 4, ambay akianza kupewa awamu ya kwanza laki 6 anasubr tena mpka miez miwili ipite ndio apokee tena hiyo laki sita mpka itakamilika awamu nne ambayo itakuw ndio jumla ya hiyo hela ya boom aliyopew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…