Satisfy
Senior Member
- Jun 25, 2022
- 121
- 176
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu.
Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi ilikuwa siitwi kwenye interview na kutumiwa ujumbe unaosema niweke vyeti vilivo thibitishwa na mwanasheria.
Kweli nilifanya hivo, sasa tatizo linakuja kuedit hivo vyeti.
Kila nikiedit unakuja ujumbe huo.
Nilijalibu kufuata baadhi ya ushauri wa wadau walioutoa kwa watu wenye tatizo kama langu walio omba msaada humu jukwaani.
Ushauri uliotolewa kama huu
1. Kuwasiliana nao, kweli nilichukua namba zao, bahati nzuri kweli alipokea na kumueleza tatizo langu yeye alinijibu kuwa tutakusaidia then after there akawa hapokei tena simu
2. Kubadili format ya vyeti, vyeti vyangu vipo kwenye format ya pdf, nilibadili na kuviweka kwenye fomart ya png lkn sikufanikiiwa.
3. Ku apload mara kwa mara, kuna mdau alishauri kuwa una apload vyeti kila mara, lkn siku fanikiwa.
4. Kubadil browser, kuna mdau alishauli kutumia browser tofauti tofauti, lkn sikufanikiwa.
Jamani inauma sana hii hali, nafasi zenyewe ni za msimu zikitoka huna sifa ya kuomba kazi.
Wadau naomba mwenye ushauri mwingine tofauti na huo nilio ufanyia majaribio bila mafanikio, au
mdau aliye kuwa na tatizo kama hili anishauri kama alifanikiwa.
Jamani presha ya mtaani plus presha ya portal nakuwa sina matumain ya kupambana.
Wadau naomba msaada wenu.