GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,267
- 120,307
Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya hiyo Ofisi ya Ikulu ya Marekani kama ni Kibarazani kwao ambako anaweza kufanya kila Kitu.
In short Elon Musk ni mwenye Kiburi, Jeuri na Dharau kiasi kwamba hata ukiangalia tu Body Languages za Watumishi wa Ikulu (Wazee wa Protokali) walioko hapo Ikulu zinaonyesha kuwa hawapendi ila hawana cha kufanya. Jamaa (Elon Musk) mara ambebe Mwanae Kichwani mwake huku akiwa anaongea mbele ya Rais Trump ambaye nae anaonekana kama vile Kashikwa pabaya na Musk.