Huu ni ugonjwa gani?

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,441
ndugu zangu habari zenu Nina rafiki yangu anaongea mwenyewe kama kichaa halafu anakua mwenye mawazo mengi sana je ni ugonjwa gani au ni ukichaa
 
nimemuuliza anasema alikua anakaa karibu na mwanamke wa boyfriend wake akawa anamuonea wivu huyo mwanamke sasa ndo akaanza hizo stress zake yupo kama kichaa
 
ooh kumbe msichana/ sisi wasichana huwa tunakumbwa sana na mfadhaiko
mimi hapa nilipo nna mfadhaiko una miezi hata4
nakabiliana nao hivo hivo
watu wengine hawajui

kwahiyo ana mfadhaiko wa mapenzi!
muulize alikua anampenda sana huyo bwana au?
na anataka nini
 
anasema alikua anampenda sana huyo bwana sasa bwana ndo hataki kua nae anataka mchepuko sasa hataki kukubali hiyo hali anawaza tuu mambo ya ajabu
 
alikua anampenda sana huyo bwana tatizo bwana kampenda mchepuko sasa anawaza mambo ya kujinga nilimwambia acha anasema yanamjia yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…