E eazy_L New Member Nov 2, 2022 3 0 Mar 20, 2024 #1 Habari za jioni, Naomba kujua huo kwenye picha ni mti gani?
machiaveli JF-Expert Member Jun 4, 2016 2,194 4,972 Mar 20, 2024 #4 Au common name yake buckthorn kama sijakosea Kwa kibantu ndio sijui
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Apr 11, 2023 1,007 1,550 Mar 22, 2024 #6 eazy_L said: Habari za jioni, Naomba kujua huo kwenye picha ni mti gani? View attachment 2940069 Click to expand... Download app inaitwa picture this.Itakupa infomation au kukujuza kuhusu mti wowote unaotaka kuujua.
eazy_L said: Habari za jioni, Naomba kujua huo kwenye picha ni mti gani? View attachment 2940069 Click to expand... Download app inaitwa picture this.Itakupa infomation au kukujuza kuhusu mti wowote unaotaka kuujua.