IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,548
- 7,629
Sijui ni shida au hali ya kawaida;
1. Sipendi kabisa sherehe zinazonihusu, ila za wenzangu nachangia ila nadra sana kuhudhuria eg, gratuations, harusi, etc,kifupi sipendi attention.
2. Sipendi kuonewa huruma nikitokewa na changamoto ie sipendi kuambiwa pole kabisa.
3. Sipendi kuambiwa nakupenda au umependeza na mwanamke yeyote hata awe mke wangu huwaga nakausha na najisikia vibaya.
4. Napenda sana kusaidia/kutoa ila sipendi kusaidiwa au kupewa.
5. Huwaga siogopi sana changamoto...hata kama nimefukuzwa kazi ama deal limekwama huwaga sioneshi mshtuko mkubwa hata kama nitaumia.
6. Sipendi kuchat - niko na groups 3 za whatsup.
7. Sio muoga kabisa kwa mambo mengi sana ambayo pengine wengine wanayahofia.
NB: Ni mtu wa kujichanganya sana na watu na mcheshi.