Eti unasema!?mtanzania harisi kujisifu asicho kijua....
Eti unasema!?
Mmmmhhhh....tafadhali tuheshimiane bibie.nasema umependeza mume wangu
Mmmmhhhh....tafadhali tuheshimiane bibie.
Wadau sasa ndio muda mwafaka wa kujenga ikulu mpya tofauti ni hii ya sasa ya tangu zama za mjerumani.
IKulu ya sasa haifai sababu moja eneo iliopo halifai kiusalama kabisa pale ni rahisi ma adui wa bwana magufuli kumshambulia.
Pili kama ikulu ikihama itasadia kupunguza msongamano huku na wafanyabiashara wa ferry wakiwa huru zaidi kufanya kazi. tujenge ikulu itayoendana na usaasa haiwezekani mpka cameroon na ghana wana ikulu bora kutushinda tujenge ikulu mpya katibya kisarawe ama dodoma
mkuu huwez kujilinganisha na Ghana na cameroon,....cameroon na ghana wana ikulu bora