Juzi hapa tumesikia kuwa Tanzania imekopa zaidi ya billion 400 Kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali Zanzibar, sawa.
Bajeti ya Zanzibar Kwa mwaka 24/25 ni trilion 2.6. maana yake ni kuwa sh. 2.6 trilion ni bajeti ya wizara zote Zanzibar.. sawa.
Je, billion 400 SI zaidi ya bajeti ya wizara moja Kwa upande wa Zanzibar?
Je, wizara ya afya Kwa upande wa Zanzibar ni kiasi Gani Kwa wajuvi wa mambo.?
Zanzibar inapopokea sh. 400 b. Italipa yenyewe au TANGANYIKA? NA KAMA NI KWELI NAOMBA KUELIMISHWA HAPA SIELEWI.