Kutokana na Rais wa Marekani Donald Trump kuzuia raia wa nchi saba kuingia Marekani huenda nchi za Iran, Syria, Libya,Somalia, Sudan, Yemen na Iraq zikabadili mfumo wa matumizi ya fedha kutoka dola ya Marekani na kutumia fedha aina nyingine, Aidha, nchi ya Iran imeanza mchakato huo.
Wakati huo nchini Liberia wananchi wanapinga mpango wa unaoitwa Dollarization yaani matumizi ya dola kwa kila kitu na wanachi wanataka serikali ianze kutumia pesa zake za ndani yaani local currency
Chanzo: African news