Huduma ya Kuanzisha Biashara

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,686
6,067
Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako?

KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa biashara yako.Huduma zinazotolewa ni pamoja na:
  1. Usajili wa Jina la Biashara au kampuni katika Mfumo wa Brela (Vigezo na Masharti kuzingatiwa)
  2. Usajili wa domain name na designing ya website pamoja na branding(Vigezo na Masharti kuzingatiwa)
  3. Uaandaaji wa business profile pamoja na Strategic Plan
  4. Kuwekewa mifumo ya uhasibu(Accounting systems pamoja na mafunzo ya utumiaji
  5. Kusimamia shughuli za marketing(Initial marketing) na kutoa ushauri
  6. Ushauri wa aina ya biashara,fursa na changamoto
  7. Ushauri katika uchaguzi wa jina la Biashara
  8. Ushauri katika uandaaji wa nyaraka za Tenda(tender Docs Preparation)
  9. Ushauri juu ya gharama za uendeshaji k.v.Ofisi,wafanyakazi,mishahara,n.k.
Huduma hizi zinapatikana kwa gharama nafuu na wataalamu wetu watakuwa na wewe katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo katika kuhakikisha kwamba unafanikiwa katika biashara yako.Tuwasiliane zaidi kwa email:masokotz@yahoo.com
 
Tender documents mnafundisha uandaaji wake au nibushauri tu??

Gharama zenu zikoje kufungua kampuni brela?
 
Hatufundishi uandaaji bali tunaelekeza na kusaidia katika uaandaaji,Tunachokifanya tunatafuta matangazo ya tenders mbalimbali kisha tunaandaa pamoja na wewe hizo nyaraka na kuzipeleka kunakohusika.Lengo letu ni kusimamia biashara yako katika hatua za mwanzo kuhakikisha inatengamaa.
 
Tender documents mnafundisha uandaaji wake au nibushauri tu??

Gharama zenu zikoje kufungua kampuni brela?
Inategemea na aina ya usajili kama LTD Company au ni Partnership.Vile vile gharama zetu ziko katika mfumo wa complete Package ama katika mfumo wa single service.Single Service kwa Business Name ni TZS 40,000(incl.malipo ya Brela) Kwa Kampuni Gharama zinaanzia TZS 75,000 kutegemea na aina ya Biashara (Hii ni pembeni ya gharama za uandaaji wa Nyaraka,Malipo ya Brela etc)

Ukihitaji Full Package maana yake utapata huduma zote tajwa hapo juu wakati unapoanzisha biashara yako
 
Gharama zako ziko juu sana mkuu.

Ila safi if mnatoa huduma nzuri.
Inategemea na aina ya usajili kama LTD Company au ni Partnership.Vile vile gharama zetu ziko katika mfumo wa complete Package ama katika mfumo wa single service.Single Service kwa Business Name ni TZS 40,000(incl.malipo ya Brela) Kwa Kampuni Gharama zinaanzia TZS 75,000 kutegemea na aina ya Biashara (Hii ni pembeni ya gharama za uandaaji wa Nyaraka,Malipo ya Brela etc)

Full Package kwa Business Name Inaanzia TZS 899,000
Full Package kwa Kampuni LTD Inaanzia TZS 1,999,000
Full Package maana yake utapata huduma zote tajwa hapo juu wakati unapoanzisha biashara yako
 
Gharama zako ziko juu sana mkuu.

Ila safi if mnatoa huduma nzuri.
Maongezi yapo mkuu,Hizo ni indicative Prices kwa muda wa miezi sita ya mwanzo wa biashara yako na inategemea na aina ya biashara. kama unahitaji huduma tafadhali karibu PM kwa mazungumzo zaidi
 
Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako?

KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzo wa biashara yako.Huduma zinazotolewa ni pamoja na:
  1. Usajili wa Jina la Biashara au kampuni katika Mfumo wa Brela (Vigezo na Masharti kuzingatiwa)
  2. Usajili wa domain name na designing ya website pamoja na branding(Vigezo na Masharti kuzingatiwa)
  3. Uaandaaji wa business profile pamoja na Strategic Plan
  4. Kuwekewa mifumo ya uhasibu(Accounting systems pamoja na mafunzo ya utumiaji
  5. Kusimamia shughuli za marketing(Initial marketing) na kutoa ushauri
  6. Ushauri wa aina ya biashara,fursa na changamoto
  7. Ushauri katika uchaguzi wa jina la Biashara
  8. Ushauri katika uandaaji wa nyaraka za Tenda(tender Docs Preparation)
  9. Ushauri juu ya gharama za uendeshaji k.v.Ofisi,wafanyakazi,mishahara,n.k.
Huduma hizi zinapatikana kwa gharama nafuu na wataalamu wetu watakuwa na wewe katika kipindi cha miezi sita ya mwanzo katika kuhakikisha kwamba unafanikiwa katika biashara yako.Tuwasiliane zaidi kwa email:masokotz@yahoo.com
mnaanzisha biashara yenye kuanzia mtaji kiasi gani?
 
Tunakushauri pia katika hilo kulingana na kipato chako,mtindo wako wa maisha,uwezo wako wa usimamizi,uzoefu,ujuzi,interests na malengo yako
 
Nimeshindwa kuelewa kama umeelewa swali

Je mnasaidia kuanzisha biashara zenye mtaji wa kuanzia kiasi gani?
 
Mkuu,kiwango cha mtaji sio factor ya msingi tunayoitumia katika kuchambua aina ya biashara,Ila kwa kukuongoza ni kuanzia Mtaji TZS 3000,000 kwa biashara ambayo inahitaji merchandising na biashara ambayo haihitaji mechandising ni TZS 900,000.Kwa biashara ambayo ni ya KITAIFA ni TZS 5,000,000 na kwa biashara ambayo ni ya kimataifa-crossbrder ni kuanzia TZS 15,000,000.

Gharama hizi ni kutokana na uzoefu ila sio kwamba ni lazima kuwa ni kiwango hicho cha pesa.

Karibu
 
Back
Top Bottom