The BornAgain
JF-Expert Member
- Jun 23, 2024
- 446
- 610
Hii ya kwenu wenye taasisi, kampuni changa na ndogo, NGOs, Churches, private schools and colleges, ..
Natoa huduma katika eneo la "Strategy consulting" ili kubaini maeneo muhimu ya kufanyia kazi na kuleta tija tarajiwa ambayo pengine imechelewa kufikiwa, au imefikiwa kwa kiwango cha chini na duni, au hakina uimara nk. Hii inaweza ikawa ktk mifumo ya utawala/uongozi, rasimali watu, rasilimali zingine muhimu kwa mradi husika, mkakati wa masoko, ufanyaji tathmini, reporting, compliance mbalimbali nk...
.....hivyo kazi yangu ni kufanya STUDY, katka maeneo yote yenye uhusiano wa moja kwa moja na matokeo tarajiwa, kisha kushauri nini kifanyike, na ikiwezekana kusimamia kwa mda fulani na kuacha mifumo sahihi ikifanya kazi.
Naamini kwa kila taasisi kuna namna inahitajika kwenye eneo hili la strategy planning..na wengi hawana hata strategic plan zao ambazo wanazitumia kujifanyia tathmini kuelekea kukua na kuongezeka.
Nashauri wasialiana nami, maana nijuavyo unaweza kuwa na timu ya wataalamu ndani ya taasisi ila wakawa bado hawawezi push mipango ya taaisisi husika kwa speed na weledi wa kutosha hata kama wanaweza...ndipo uhitaji wa mtu baki kuja kuwazindua hao hao na hatimae wakafanya vema..unakuta mfano kuna mahala hata kama kuna worker performance appraisals bado eneo la staffing ni changamoto, hata zile BRN kuna wakati zinaleta matokeo na kuna wakati bado shida.
Najaribu tu kushauri, kila mwenye taasisi asikubali iende ilimradi tu na kuwaamini staff wake kudeliver the best! Ajaribu hata yeye kufanya M&E kila baada ya miezi kadhaa usisubiri kuharibikiwa na kukucost zaidi wakat ungeweza amua maamuzi mazuri mapema ( maamuzi to "shutdown or make it more").