Habari rafiki, kijana,ndugu,mfanyabiashara, wahitimu wa vyuo na watanzania wote kwa ujumla.
1.Je ungependa kuungana nami katika huduma mpya ya kusafisha sink za toilet, za kunawia na vigae kwa ujumla kwa kutumia vifaa vya kisasa?
2. Je unafahamu mahali/hoteli/shule/bar/ na sehemu nyingine kibao zenye sink zilizofubaa na zisizotamanika?
3.Je ungependa kuwa bussiness parter katika kutoa huduma hiyo?
Kifupi ni kwamba tumewaletea huduma mpya ya kusafisha sink, marumaru na vioo vilivyofubaa na kupoteza muonekano wake. Kwa kutumia dawa na vifaa vya kitaalam tunakurudishia sehemu hizo kuwa mpya kwa gharama nafuu sana, kuliko kupiga hesabu ya kuyatoa na kuweka mapya!
Usiogope kuwasiliana nami kama unahitaji huduma hiyo, mfano kwa sink moja ni bure kabisa, then tutaingia mkataba kwa sink zilizopo.
Kila sink linasafishwa ndani ya dakika tano tu na kurudi kuwa jipya.
Hatuuzi dawa za kusafishia bali tunatoa huduma za kusafishia
Popote ulipo wasiliana nami kwa 0625794904