Huduma iliyonishtua kwenye kituo kimoja cha Polisi

realMamy

JF-Expert Member
Apr 28, 2024
2,132
4,461
Nilifika pale nikiwa nimeenda kuripoti changamoto yangu. Nikiwa nimekaa nasubiri zamu yangu ifike nashangaa waliokuwa mbele yangu pale mapokezi walikuwa wakipewa zile karatasi za kutolea maelezo wakazitoe kopi ziwe tatu kisha wazirudishe.

Karatasi moja inakuwa yako kwa ajili ya kutolea maelezo nilijiuliza sana maswali.

Kwanza kama mtu ameenda kushtaki kuwa ameibiwa na hana pesa kwa wakati huo atatoa wapi Pesa ya kutoa kopi karatasi hizo ili ahudumiwe.

Naomba kujua huu utaratibu upo sehemu nyingi au ni huku tu?
 
Back
Top Bottom