chinchilla coat JF-Expert Member May 16, 2016 5,107 10,969 Jun 17, 2016 #1 Kampuni ya simu ya Huawei imetangaza kuwapa simu mpya wateja wake wote watakaozimiwa simu na TCRA, Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa mauzo wa Huawei Sylivester Manyara.
Kampuni ya simu ya Huawei imetangaza kuwapa simu mpya wateja wake wote watakaozimiwa simu na TCRA, Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa mauzo wa Huawei Sylivester Manyara.