Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,373
Hi
Kwa siku kadhaa nimehangaika kutafuta Mobile partner v22 maana v23 sijaipenda kabisa....
Lakini nilizozipata tayari zina brand names za websites husika mfano Huawei USB modem Unlock, Unlock USB 3G Modem, Unlock Wireless Modem, Unlock ZTE USB Modem e.t.c
Kama kuna mtu anayejua ku Extract dashboard kutoka kwenye modem na kutengeneza "dashboard Installer.exe" basi anisaidie na kama kuna njia nyingine pia ntashukuru kuijua...
Kama unazo tools pia waweza tupia hapa
Pia kama unazo knowledge za ku customize Mobile partner iwe na picha kadhaa zinazo vutia e.g kuweka icons kama Voda,Tigo,Zantel,smart e.t.c pia unakaribishwa
Kama unayo dashboard ya Huawei inayovutia waweza ipost hapa pamoja na Interface yake
Thanks in advanve