Mkuu khaki ya uchumi ngumu ...chukua 250kHDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky)
imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/
anayehitaji ani pm
mkuu processor ni core i ngapi i.e i3,i5,i7 nipe majibuHDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky)
imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/
anayehitaji ani pm
300kBado ipo sokoni
Inakaa na chaji mda gani? Ina chaj yake!?Bado ipo