how to stop Lionel Messi ( funny pics)

Munru

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
1,340
666
huyu jamaa hakamatiki, ni another level,
nadhani kwa kizazi hiki hakuna mchezaji anaemgusa,
ha suggested way ya kumzuia ni kama inavyoonekana kwenye picha lol

524249_10150632833398564_247461943563_9402522_1790136156_n.jpg

na kama unafikici cr. 7 ni mkali unajidanyanga, na madrid hawana uwezo wa kuwafunga Barca hata wangekuwepo ronalod 3 , as long as Messi yupo , still madrid wangelala tu ,
the only way madrid kuwashinda barca labda iwe ivi :

426943_10150615811063564_247461943563_9343314_1689683664_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom