Skillseeker
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 225
- 34
habari za kwenu wadau..naomba mnieleze jinsi ya kuformat simu ya nokia 5235 kwa kutumia codes..pia naomba kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata OS yake na kuweza kuformat kwa kutumia computer basi anisaidie...
naomba pia codes nyingine muhimu za kwenye nokia
natanguliza shukurani...
naomba pia codes nyingine muhimu za kwenye nokia
natanguliza shukurani...