heshima kwenu, naomba kujuzwa nawezaje ku fetch data kutoka sqlite database na kudisplay information by issueing python command? Nimetengeneza data base separate kwa kutumia sqlite sasa nimejaribu kuzichota kwa kuandika python program naambiwa "NO SUCH FILE"
ATTACHMENT HII HAPA.