Secret service has nothing to do with cyber threat proctection kazi yao ni ulinzi yani visible protection tu kazi ya ulinzi wa cyber threat ni kazi ya NSA ( National Security Agency)
Na ulinzi dhidi ya threat kutoka nje ya US ni kazi ya CIA ( Central Intelligence Agency)
Na ulinzi dhidi ya mashambulizi ya chemical , biological , radiological , nuclear ni kazi ya DTRA ( Defense Threat Reduction Agency) ambayo iko chini ya Department of Defense
Wenzetu kila taasisi inafanya kazi yake na kila taasisi lazima itoe mchango wake ktk kuhakikisha kiongozi mkuu wa nchi anakuwa safe & sound