Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,623
- 13,843
Mnamo mwezi Machi Houth walitangaza kumiliki kombora la Hypersonic na baada ya hapo ikawa kimya.
Hata hivyo hapo juzi wamelizindua kombora hilo ambalo limepewa jina la Palestine likiwa limepakwa rangi za kilemba cha kipalestina alichokuwa akivaa Yasser Arafat.
Aina hiyo ya makombora mpaka sasa wengine waliofanikiwa kuyatengeneza ni Urusi na Iran pekee.Sifa ya kombora la Houth ni kuwa linatumia solid fuel kama lile la Iran.
Tofauti na makombora ya ballistic ambayo japo yanasafiri kwa kasi kubwa na masafa marefu lakini mara nyengine huweza kudunguliwa na silaha kama patriot za Marekani hasa pale linapoelekea kutua kwenye lengo lake.
Kombora la Hypersonic huwa ni shida kulitungua kwani lina uwezo wa kubadili njia hewani kila baada ya sekunde kadhaa inapohitajika.Vile vile muda wa kuliandaa kulirusha ni mfupi sana kuliko balistic missile hivyo kupunguza uwezekano wa kupigwa likiwa ardhini kabla halijafyatuliwa.
Katika uzinduzi wa Palestine ilithibitika kuwa ni kweli ni hilo lenyewe kutokana na aina ya moshi mweupe unaotoka wakati likipaa ambao ni sifa ya kombora hilo.
Hypersonic ya Palestine iliyozinduliwa ilirushwa kuelekea eneo la Eliat kusini mwa Israel na lilifanikiwa kutua salama bila tatizo japo kiwango cha madhara yaliyopatikana bado hayajajulikana.
Kombora la Palestine kasoro yake ni uwezo wa kusafiri ni kilomita 1400 ambapo si zaidi ya kusini ya Palestine japo makombora kama hayo huwa ni rahisi kuyaongezea masafa ya kupiga kwa kuyaongezea formula zake.