Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 1,982
- 2,023
Majeshi ya Marekani bado yanaendeleza kipondo kwa Wahouth huko Yemen baada ya wao kununua ugomvi usiowahusu.
Majeshi ya Marekani usiku huu yameshusha kipondo cha kufa mtu kwa magaidi hao na kuacha bilion vikiwa vimetanda kwenye maeneo yaliyoshambuliwa na majeshi hayo.!!!