singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Huyo Mugabe anachekesha sana. Zimbabwe iko kwenye janga la njaa kiasi kwamba wananchi wake wanaangamia. Wanaopeleka misaada ni hao hao US, UK, and the like huku akijifanya jeuri simply njaa "haimhusu" yeye na familia yake.
Hii naifananisha na tabia ya mwarabu kutwa kucha kuwatukana makafir wa west lakini mkorogano kidogo tu huko kwao kiguu na njia kwenda huko huko west badala ya kuja Afrika to their "brothers and sisters".
Mfano wako kwa waarabu hauko sahihi soma historia west ndio wanawaingilia waarabu kwa nguvu. wanatumia kila hila kutaka kuwaweka chini yao na ndio sababu ya machafuko yasiyo isha. Njaa ya Zimbabwe (miaka ile sio sasa uchumi unaimarika) ilitokana. na Waingereza kuweka vikwazo Jamaa aligangamala wakanyooka wenyewe na Tshanharai wao wakamugeuka. Mugabe Kidume.
Mfano wako kwa waarabu hauko sahihi soma historia west ndio wanawaingilia waarabu kwa nguvu. wanatumia kila hila kutaka kuwaweka chini yao na ndio sababu ya machafuko yasiyo isha. Njaa ya Zimbabwe (miaka ile sio sasa uchumi unaimarika) ilitokana. na Waingereza kuweka vikwazo Jamaa aligangamala wakanyooka wenyewe na Tshanharai wao wakamugeuka. Mugabe Kidume.
Brain of being inslaved?becoming an.independent needs struggle,and this may effect to some upside downs before they understand and find u in ur right path.Hypocrisy is the most dengareous weakness to suistainable development.MUGABE IS THE HERO.we will one day see him in the destination of his wishKwa lugha nyepesi Mugabe hana strategy za kuendeleza nchi yake , hii njia yake ya kuzipigia kelele western countries na kuzilaumu ni njia ya kijinga kabisa na wajinga wanaendelea kumpa support imefikia kipindi anaitwa Simba wa Africa ? Kwa lipi ? Kalifanyia nini cha maana bara hili ? Kaleta innovation gani ambayo ni life changing ? Nini kipya ?!
Kiongozi mzuri ni Yule anayekaa chini na kubuni mbinu ya kujikwamua yeye kwanza na watu wake sio kila siku kutukana watu kwenye mikutano ya UN ili aonekane bora . Wenzake hawatukani wanatulia wanabuni njia wanaendelea ..
"Let's use our brains instead of becoming crying babes "
Huyo mtoa Mada hata hajui hao waarabu wanaokimbilia West ni akina na nani wala hajui wanakimbilia nini. Kama unajua laana ya kumiliki vyanzo vya mafuta na gesi asilia basi hautasema maneno kitoto kama hayo. Juzi tu Donald Trump kamsema Rais wa Malawi mtu aliye na hadhi ya elimu ya kuitwa Profesa kisha akaishi Marekani miaka 30 na bado akapata cheo cha kuwa Rais wa nchi na leo Malawi kuna njaa na shida ya maisha kuzidi maelezo.Mfano wako kwa waarabu hauko sahihi soma historia west ndio wanawaingilia waarabu kwa nguvu. wanatumia kila hila kutaka kuwaweka chini yao na ndio sababu ya machafuko yasiyo isha. Njaa ya Zimbabwe (miaka ile sio sasa uchumi unaimarika) ilitokana. na Waingereza kuweka vikwazo Jamaa aligangamala wakanyooka wenyewe na Tshanharai wao wakamugeuka. Mugabe Kidume.
Tatizo hujifikirishi kwa nini wanakimbia. Wanakinbia maxhafuko yaliyoanzishwa na nani, kwa manufaa ya nani? Kwanini iwe rahisi kuta nafasi kwa wakimvvizi Wa ingie na kuishi marekani kama sio kuwapika na kuwaruhusu warudi kuziondoa tawala zinazowakera wao!! Ndio siasa za dunia ya kwanza divide and ruleHoja za namna hiyo huwa nashindwa kuzielewa. Yaani anayekuingilia kwa nguvu, anayekuulia ndugu zako (kama mnavyodai) na kukufanyia kila namna ya madhila utakimbilia tena kwake kwenda kujisitiri kweli!? Yaani unakilmbilia kuishi kwa "muuaji" wako! Angalia wanavyopukutikia hapo Mediterranean kisa kukimbilia Ulaya kula bata wakati Bongo wangeweza kuja hata kwa miguu! Ha ha ha! Mtu wa aina hiyo utakuwa na funza kichwani sio bure.
Vita vingi vya nchi za kiarabu si vita vya waarabu kwa waarabu.Hoja za namna hiyo huwa nashindwa kuzielewa. Yaani anayekuingilia kwa nguvu, anayekuulia ndugu zako (kama mnavyodai) na kukufanyia kila namna ya madhila utakimbilia tena kwake kwenda kujisitiri kweli!? Yaani unakilmbilia kuishi kwa "muuaji" wako! Angalia wanavyopukutikia hapo Mediterranean kisa kukimbilia Ulaya kula bata wakati Bongo wangeweza kuja hata kwa miguu! Ha ha ha! Mtu wa aina hiyo utakuwa na funza kichwani sio bure.
Good naona unasimamia kile unachokiaminiMugabe is an African Hero!
Sitoi sababu.
Good naona unasimamia kile unachokiamini