Hata Sugu naye alishafanya yake hapo...teh teh teh...sidhani kama Ubungo plaza inaweza kuvunja rekodi ya Serena kwa matukio ya kipekee katika siasa za upinzaniTaja na ubungo plaza shuhuli nyingi hufanyika pale hata Makonda alimchapa makofi Mzee Warioba pale.
Heheheh....Taja na ubungo plaza shuhuli nyingi hufanyika pale hata Makonda alimchapa makofi Mzee Warioba pale.
We Ushawahi kuingia walau kunywa maji japo na wewe mwanasiasa
Hao wenyewe si ndio walienda kumlaza pale wakati wanamtumiaDK.Slaa naye umemuweka kwenye kundi la wapinzani!?
Yeah si unajua ccm wanatapa tapa kama kumbi kumbi nowHivi ya Lowasa kutangaza kujitoa ccm na kuwa mgombea wa chadema haikua Bahari beach ?