Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Habari wakuu. Natarajia kuwa na likizo fupi ya mapumziko na nina hitaji mahali ambapo nitatulia na mama watoto wangu kwa hyo wiki moja kuanzia tarehe 22 Octoba
Niko hapa kuwaomba kama kuna mdau anaweza kufahamu hotel/ Lodge nzuri ya bei za kitanzania kuanzia 50,000/= mpaka 80,000/=
Nitafurahi sana kama nitaipata iliyoko kando/ pembezoni mwa Indian Ocean. Kwa maana nikitoka nje naingia beach.
Naomba hotel/ Lodge hizo zisiwe Stella Maris au Oceanic view. Hizo nimeshawasiliana nao
Naomba kuwasilisha