hauleibrahim
Senior Member
- May 17, 2024
- 183
- 123
Kuna wakati kila binadamu anapochukua hatua kwenda hospital kwenda kufanyiwa upasuaji Fulani uwe uvimbe mwilini au kitu kingine hpo ameamua Kwa dhati kuwaamini wataalamu ssa wakamponye ugonjwa Kwa njia za kitaalam ili asiishi kwa maumivu.
Ajabu huja kwa baadhi ya hospitali zinazojiita private sectors sio zote baadhi au chache sana ZeNye hizo huduma za upasuaji flani n wana vifaa ila unakuta hawana wabobezi wa hizo kazi Kwa ufasaha.
Kutokuwa kwao na ubobezi makini ndio unaenda hospital yao unalipa fedha nyingi za jambo lako ila ajabu badala ya kutoka umepona unatoka na ulemavu mwingine ambao hapo awali hukuja nao hospitalini kwao.
Rai yangu kwa serikali yetu kupitia hizi hospital za sekta binafsi na kujilizisha na hao wataalam wanao waajiri hasa vitengo vya upasuaji pasuaji ni kweli unakuta vifaa wanavyo vya kisasa ila wataalamu wabobevu wenye kufanya pasuaji makini na Zenye tija hakuna.
Ni aibu unatoa fedha nyingi kwenda kuongezea ulemavu ambao hukwenda nao mahali Pao pa kazini kwao Bali ulienda kutibu tatizo ulilo kuwa nalo.
Ni wakati sahihi serikali kupita kwenye hizi hospital kubwa ZeNye majina makubwa makubwa na kufanya uchunguzi kuna mambo ya hovyo hutokea ila watu hawana pa kuyasemea.
Mimi naweza kuwa mhanga wa hilo au sio mhanga ila kwa niaba ya ambao hawajawahi fanyiwa upasuaji itawasaidia ili kujiandaa kiakili kwamba unapoenda kufanyiwa upasuaji lolote la weza tokea nje ya kifo pia Kuna kuongezeana ulemavu.
Nikisema kuongezeana ulemavu ni vile umeenda hospital mguu unashida ila baada ya upasuaji n kupona unakuta vidole au mguu kiujumla utendaji kazi wake umepungua isivyo kawaida na kipindi unaenda kwao hospital hukuwa ni matatizo hayo kabisa hapo panakufikirisha wataalamu wetu wa upasuaji je wana ubobevu makini kwenye kufanya kazi zao.
Hatuingilii taaluma za watu ila tuna hoji maan ni aibu kulipa pesa nyingi alafu unaenda kutoka na tatzo ambalo hukuwa nalo kbisa.
Je, nini kifanyike kuondoa hizi kasumba kwenye hospitali zinazoonekana ni kubwa kwa majina ila zina hayo madhaifu yanayoathiri nguvu kazi kwa namna hiyo.