Wakuu salaam
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu.
Naomba kuuliza Hospitali gani nzuri kwa kupima magonjwa ya tumbo kati ya IKONDA na zile za Dar es slaam kama vile Regency, TMJ, KAIRUKI na zinginezo?
Nimekuwa nikisumbuliwa na tumbo kwa mda wa miezi kazaa sasa na kuhangaika kwenye hizi hospital za kawaida bila mafanikio, ndio maana nimeomba mwenye kujua anijuze ili niweze kwenda kufanya uchunguzi zaidi huko!!!
Natanguliza shukurani za dhati kwenu!!!