MODS PLEASE HELP.
HII NI SERIOUS.
Hii miaka aliyopotea huyu ndugu ni miaka mibaya sana ambayo wazee wengi wa kichagha hasa kutoka huko Rombo na sehemu nyenginezo walikuwa wanatelekeza wake na watoto zao nakupotelea kusikojulikana{sisemi kwamba huyu nae alifanya hivyo}ila nalo nilakuliangalia..watafutwe wanaohisiwa kuwa marafiki zake wanaeza kujua mienendo yake ya mwisho mwisho na kipi kilikuwa kiota chake!!!Mungu awajaaliee aweze kupatikana akiwa mzima.
Ungetoa taarifa zaidi may be hata jina mabadiliko huwezi jua na hata Mke anaweza kuwa nae na watoto labda kama yuko hai
Swali wakati anaondoka alikuwa na miaka mingapi ili wana JF wajue anayetafutwa kwa sasa ana miaka mingapi!
Na ni mtaalam wa nini alikuwa kwa wakati huo may be atakuwa anaendelea na hiyo taaluma au labda alishabadili.
Inaweza kusaidia kupata huyo jamaa may be!!
Thanks, kwa hiyo anayetafutwa huyo mwanaume kwa sasa ana miaka 59 ndiyo picha halisi.MKUU AMEZALIWA 1958 NA AMEONDOKA 1994. ALIKUWA 36YRS OLD.
ALIKUWA MFANYABIASHARA WA MADUKA.
AMEKATIKA VIDOLE VIWILI MKONO WA KUSHOTO.
Pole mkuu kwa kumtafuta mpendwa wako. Vipi hivyo vidole vilikatika katika mazingira gani?MKUU AMEZALIWA 1958 NA AMEONDOKA 1994. ALIKUWA 36YRS OLD.
ALIKUWA MFANYABIASHARA WA MADUKA.
AMEKATIKA VIDOLE VIWILI MKONO WA KUSHOTO.
Acha mchezo nduguNo doubt! Huyo atakuwa 6ft under. No doubt.
Mfanya biashara ya maduka....A.K.A. yake Pwagu, Vidole viwili vimekatika, hata watu wake wa karibu hawajui vilikatikaje, aliondoka ghafla na hajulikani alipo tangu 1994....MKUU,
I AM HELPING THE FAMILY.
SIJUI VILIKATIKAJE BUT HAVIPO.
Hapo unataka kusemaje maana maswali yako yana make senseMfanya biashara ya maduka....A.K.A. yake Pwagu, Vidole viwili vimekatika, hata watu wake wa karibu hawajui vilikatikaje, aliondoka ghafla na hajulikani alipo tangu 1994....