Hongereni Tanroads, TARURA na DC Kigamboni kwa kukubali kutuondolea yale matuta pale mnadani

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,602
22,191
Shukurani na pongezi ziwafikie Tanroads,Tarura na DC kigamboni kwa kukubali kuyaondoa Yale matuta mabaya pale mnadani!

Uongozi ni kusikiliza, Tunawashukuru sana! Kama kutakuwa na ulazima sana wa tuta mahali pale, BASI YATUMIKE YALE MATUTA MAKUBWA MAPANA!

Lakini kwa sasa Hall ni shwari kanisa!

USHAURI WA MENGINEYO!

1. Kama kigamboni itafaidika na mradi wa DMDP au Kwa bajeti ya Tarura!
Nawashauri ile barabara ya MAWENI Kupitia soko maziwa Mtafte NAMNA ikatokee pale mnadani kuliko kuinyoosha hadi tungi msikitini!

Pale mnadani ni papana kwa muingiliano panafaa makutano ya barabara hiyo kuliko pale msikitini ambapo patakuja kuzalisha foleni kubwa sana kama barabara ile itapitishwa msikitini!

Kuhusu uwepo wa bomba la mafuta hauzuii ujenzi wa barabara! Mnaweza kuijenga kwa pembembeni sambamba na bomba lilimopita! HAKUNA KINACHOSHINDIKA Na teknolojia imekuwa!

2. Ushauri mwingine kama mradi wa DMDP Utaifikia kigamboni, zipeni kipaumbele barabara za mpya za huko kigamboni hususani barabara zinazochepusha msongamano kutoka barabara kuu katika uelekeo wa darajani (Wings roads)
mfano
a) unganisheni KIBADA na VIJIBWENI kwa lami!
b) unganisheni maweni/mjimwema na kisiwani
c) unganisheni shortcut GEZA ULOLE/KIBUGUMO na KIBADA/KISARAWE II
d) unganisheni SHORTCUT kisarawe 2 na mikwambe
e) unganisheni SHORTCUT Mikwambe na MKURANGA n.k

Hapo Kivukoni msiwekeze nguvu kwasababu MIPANGO Ya kuifanya kigamboni new city IKIRUDI ITAKUJA KUANZIA HAPO PATABOMOLEWA!

Mimi naomba tu wayarudishe hayo matuta maana jana tu nimenusurika kugongwa na bajaj hapo mnadani muyarudishe hayo matuta tafadhali.Au muweke kichuguu kabisa eneo hili.Ni high risk area.
 
Yale matuta yalikuwa kiboko yani ulikuwa ukikalibia pale kupita paka uyalie timing
Mfano waliokiwa wanatoka vijibweni walikiwa wanapita upande wa kituo cha mafuta kukwepa tu hayo matuta
 
Mimi naomba tu wayarudishe hayo matuta maana jana tu nimenusurika kugongwa na bajaj hapo mnadani muyarudishe hayo matuta tafadhali.Au muweke kichuguu kabisa eneo hili.Ni high risk area.
Kwahiyo kukoswa kwako ndo kuharibu vyombo vingine!
Kuwa makini usivuke barabara kama mmasai!

Wataweka Yale makubwa MAPANA bajeti ikiwaruhu! Kwa sasa sote tuwe makini! Tusivuke barabara kama mifugo
 
Yale matuta yalikuwa kiboko yani ulikuwa ukikaribia pale kupita paka uyalie timing
Mfano waliokiwa wanatoka vijibweni WALIKUWA wanapita upande wa w kwenye kituo cha mafuta kukwepa tu hayo matuta 😂
Yalikuwa yanatikisa hadi ubongo
 
Kwahiyo kukoswa kwako ndo kuharibu vyombo vingine!
Kuwa makini usivuke barabara kama mmasai!

Wataweka Yale makubwa MAPANA bajeti ikiwaruhu! Kwa sasa sote tuwe makini! Tusivuke barabara kama mifugo
mkuu,chombo na uhai wangu havilingani
 
Kwahiyo kukoswa kwako ndo kuharibu vyombo vingine!
Kuwa makini usivuke barabara kama mmasai!

Wataweka Yale makubwa MAPANA bajeti ikiwaruhu! Kwa sasa sote tuwe makini! Tusivuke barabara kama mifugo mkuu,kwamba wamasai wapoje kwenye kuvuka barabara,mbona wote ni binadamu tu kama sisi
 
mkuu,chombo na uhai wangu havilingani
Ndiyo maana binadamu kapewa akili ya kuvuka!
Sasa kama utavuka kama mifugo unamlaum nani!
Tahadhali ni mhimu usitegeme breki huwa zinagoma saingine
 
Yale yaliwekwa kimkakati watu wapate ada za watoto, smartphone ,kodi, kumalizia ujenzi, kulipa madeni na kumwagilia moyo
 
Usalama unaanza kwa kuwa makini kwangu mimi binafs na mtumizi wa chombo...Ukiangalia pale mnadani,zebra ipo,ila hakuna anayesimama,hasahasa hawa bajaj mida ya jioni,labda tu awe anataka kupakia abiria...Na hivi matuta yametolewa imeingia dhana kwao kuwa pale ni pa kuteleza tu.
 
Yale yaliwekwa kimkakati watu wapate ada za watoto, smartphone ,kodi, kumalizia ujenzi, kulipa madeni na kumwagilia moyo
Hahah Hapana ni makosa ya kibinadamu cha mhimu wamesikia kilio chetu hayo mengine ni marupurupu
 
Shukurani na pongezi ziwafikie Tanroads,Tarura na DC kigamboni kwa kukubali kuyaondoa Yale matuta mabaya pale mnadani!

Uongozi ni kusikiliza, Tunawashukuru sana! Kama kutakuwa na ulazima sana wa tuta mahali pale, BASI YATUMIKE YALE MATUTA MAKUBWA MAPANA!

Lakini kwa sasa Hall ni shwari kanisa!

USHAURI WA MENGINEYO!

1. Kama kigamboni itafaidika na mradi wa DMDP au Kwa bajeti ya Tarura!
Nawashauri ile barabara ya MAWENI Kupitia soko maziwa Mtafte NAMNA ikatokee pale mnadani kuliko kuinyoosha hadi tungi msikitini!

Pale mnadani ni papana kwa muingiliano panafaa makutano ya barabara hiyo kuliko pale msikitini ambapo patakuja kuzalisha foleni kubwa sana kama barabara ile itapitishwa msikitini!

Kuhusu uwepo wa bomba la mafuta hauzuii ujenzi wa barabara! Mnaweza kuijenga kwa pembembeni sambamba na bomba lilimopita! HAKUNA KINACHOSHINDIKA Na teknolojia imekuwa!

2. Ushauri mwingine kama mradi wa DMDP Utaifikia kigamboni, zipeni kipaumbele barabara za mpya za huko kigamboni hususani barabara zinazochepusha msongamano kutoka barabara kuu katika uelekeo wa darajani (Wings roads)
mfano
a). unganisheni KIBADA na VIJIBWENI kwa lami!
b) unganisheni maweni/mjimwema na kisiwani
c) unganisheni shortcut GEZA ULOLE/KIBUGUMO na KIBADA/KISARAWE II
d) unganisheni SHORTCUT kisarawe 2 na mikwambe
e) unganisheni SHORTCUT Mikwambe na MKURANGA n.k

Hapo Kivukoni msiwekeze nguvu kwasababu MIPANGO Ya kuifanya kigamboni new city IKIRUDI ITAKUJA KUANZIA HAPO PATABOMOLEWA!

Tarula ndiyo nini? Shida yako ni elimu au ni kitu gani. Au we ndiyo wale wanaochukia elimu? Yeyote anayechukia elimu amelaaniwa maana anapingana na Mungu maana imeandikwa "Mtafute sana elimu angalia usimwache akaenda zake"
 
Ni hilo la tarula tuu au una jingine na mleta uzi? Amekugongea mkeo itakuwa. Mwigulu alishindwa kufafanua TRAP ambayo ipo chini ya uongozi wake ina maana hana elimu?
 
We ni mburula kweli, km hiyo ndiyo akili yako basi ina funza, au ndio walewale? Naona JF imevamiwa na watu siyo, rudini zenu FB huu hili ni jukwa la Great Thinkers msijilamisheni jukwaa siyo lenu.
 
Back
Top Bottom