Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 16,512
- 35,184
Ukitaka kujua future ya Taifa lolote angalia vijana wake! Fikra zao na priorities zao! Yaani wana maarifa sahihi?
Leo nimejaribu tu kufanya kautafiti kadogo kuhusu tofauti iliyopo baina ya vijana wa Tanzania na wa Rwanda ili niweze tu kubashiri Taifa gani lina vijana hodari wanaolifanya liwe juu ya Taifa lingine.
Kwenye utafiti wangu niliofanya kwenye mtandao wa X haya ndo mawazo na fikra za vijana wa Tanzania na watu wake,
Alafu jionee mwenyewe mawazo na fikra za vijana wa Rwanda!
Conclusion niliyofikia ni kuwapongeza CCM kwa kutuangamizia Taifa letu kwa kutengeneza utamaduni uliowafanya vijana wasiwe na tamaduni ya kutafuta maarifa ya kuifanya nchi yao kuwa bora na ya mfano kwa maendeleo na kila kitu.