Hongera Waziri Dotto Biteko kwa kuanza kuimarisha upatikanaji wa umeme

King Nkondo

JF-Expert Member
Jan 1, 2023
1,350
1,994
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.

Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme

Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
 
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa wizara ya nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa geita na shinyanga hatujakatiwa umeme, huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida Sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme, ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Samia na biteko hoyeeeee.
Uchawa ndo tatizo lingine ambalo lime jitokeza nchini tena.......
 
Penye Ukweli lazima pasemwe mambo makubwa anayoifanyia nchi dk Samia yalikuwa yanaenda kufutika sababu ya sakata hili la umeme.
 
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa wizara ya nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa geita na shinyanga hatujakatiwa umeme, huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida Sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme, ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Samia na biteko hoyeeeee.
Wewe labda unaishi ndani ya yard ya mitambo ya kupokelea na kusambaza huo umeme na sio huku uraiani.!

Hali ya upatikanaji umeme ndiyo imekuwa mbaya zaidi kuliko ilivokuwa wiki mbili au tatu zilizopita kiasi cha kuathiri hata upatikanaji wa huduma zingine muhimu zaidi hasa maji ambayo mashine za kusukuma maji zinategemea nishati ya umeme
 
Niende moja Kwa moja kwenye hoja, Kwa siku chache ulizokaa Wizara ya Nishati ndugu Biteko, Leo ni siku ya tatu mfululizo mkoa wa Geita na Shinyanga hatujakatiwa umeme.

Huo ni mwanzo mzuri tutakuwa wachoyo wa fadhila tusipokutia moyo, endelea kushikilia hapohapo mwamba, hakika mama kafunga goli la kisigino kukuweka hapo, make tulipata shida sana kujibu hoja za wakosoaji kwenye sakata la umeme

Ni matumaini yangu kuwa na sehemu chache zilizobaki nazo soon wataanza kusahau adha ya umeme iliyosumbua hapo nyuma, Rais Samia na Biteko hoyeeeee.
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kichaa tu awezaye kusema hivi.
Ukitaka kuona unakokwenda tazama pia ulikotoka Kwa kweli matokeo chanya yanaonekana na hili pia Samia anafahamu huwezi kupendwa na kila mtu, yesu mwenyewe pamoja na kugawa samaki na kuponya vipofu lkn bado alisurubiwa.
 
BREAKING NEWS: Serikali ya Tanzania iko kwenye mazungumzo ya mwisho na shirika la umeme la Msumbumbiji EDM kununua umeme wa dharura wa 150MW. Umeme huo utasaidia kupunguza kadhia ya sasa ya mgao mkali wa umeme. #TanzaniaLeaks

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Jambo jema make wananchi wanachotaka ni umeme wa uhakika hata kama watanunua wa Ethiopia au Somalia.
 
Wewe labda unaishi ndani ya yard ya mitambo ya kupokelea na kusambaza huo umeme na sio huku uraiani.!

Hali ya upatikanaji umeme ndiyo imekuwa mbaya zaidi kuliko ilivokuwa wiki mbili au tatu zilizopita kiasi cha kuathiri hata upatikanaji wa huduma zingine muhimu zaidi hasa maji ambayo mashine za kusukuma maji zinategemea nishati ya umeme
Kwa hii mikoa niliyotaja pigia mtu unayemfahamu uliza mara ya mwisho kukatiwa umeme atakwambia ilikuwa ijumaa, najua bado kuna maeneo bado Yana shida Ila soon napo mtasahau hiyo adha ya umeme.
 
Back
Top Bottom