Kwanza nikiri, sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote Tanzania, nilikuwa tu shabiki wa chama hiki (CHADEMA) lakini nilivunjwa moyo baada ya Hayati Lowassa kupokelewa na kujiunga na chama hiki.
Kitendo hicho kilinikwaza sana nikaamua kubaki neutral coz niliona kama viongozi wa chama ni wasaliti maana miaka yangu yote niliamini LOWASA ni FISADI na hii ilitokana na CHADEMA wenyewe kutuaminisha hivyo Watanzania.
Kwa misimamo ya Mh. Tundu Lissu, naamini chama kitarejea katika misingi yake na mimi natangaza rasmi kuwa mwanachama mwaminifu wa chama hiki. Wiki hii naenda kuchukua rasmi kadi ya uanachama, naombeni wanachadema mnipokee na mnipe ushirikiano!