Hongera kwa Ruto kutowarembea M23, Akiwa mpole Kenya Magharibi itaanza kuchezewa kama Congo, M23 = Rwanda + Uganda

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,918
Mwanzoni mtoto wa M7 alikuwa anapima kina cha maji kutesti reaction ya Ruto, Nahisi aliona Ruto ni Docile akaanza kumtesti kwa kumwambia ataiteka Nairobi ....ujumbe huu ulikuwa ni direct kwenda kwa Mkuu wa majeshi ya Kenya ambae ni Ruto.

aliweka ujumbe kwamba anaweza kuikamata Nairobi ndani ya wiki 2 tu..

1667845350366.png


Nadhani huyo mtoto wa M7 ana ndoto ya kulirudisha eneo la Kenya magharibi kwa sababu zamani enzi za ukoloni kuna kipindi eneo ilo lilikuwa sehemu ya Uganda, Ramani hii hapa.

1667843248120.png


Ruto naona kacheza kama Pele, kukaa kimya kwa mtoto huyo kwake itakuwa ni kama kakubali dharau, kajibu kwa vitendo kapeleka jeshi kukabiliana na M23 ambao ni ndugu zake huyo Muhoozi.

Mtoto wa M7 kusikia Ruto katuma majeshi, ni kama kisu kimemgonga mfupa, Kupitia Twitter kakiri wazi kabisa kwamba M23 ni watutsi ambao ni kaka zake ataowalinda wakishambuliwa.

Tafsiri ya tweet: Kwa M23, nafikiri ni hatari sana kwa yeyote ataepigana na kaka zetu. Sio magaidi!! wanapigania haki za watutsi wa Congo

1667843587449.png



Ruto, shikilia hapo hapo
 
Walijificha kwenye kabila la banyamulenge ambalo halipo wakati kimsingi wale ni watutsi kutoka Rwanda waliovamia mapori ya DRC wakiwa na mifugo baadae wakaona wajimilikishe ardhi jumla na ndio maana hawana urai full wa DRC kwahiyo muhooz atulie dawa imuingie watu wakisema kagame anawasaidia mnabisha sasa kiko wapi
 
Mkuu huyo dogo anasema kuwa ni hatari kupigana ndg zetu, kuwa hao m23 wanapigania haki yao katika ardhi yao.

Huo msaada siuoni...nitajie
hujui M7 ni mtutsi? huez unganisha dots hapo ?
 
Back
Top Bottom