Nas Mapesa
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 5,277
- 5,408
Tutamkumbuka Jk
Nime attach hapa Picha nne za Daraja La Dr Dau Kigamboni, ama kweli limebadilisha sura ya Dar.Hongera JK huku Msimamiz Mkuu Dr Dau mnamtukana...wanadam viumbe wa ajabu sana
Nime attach hapa Picha nne za Daraja La Dr Dau Kigamboni, ama kweli limebadilisha sura ya Dar.
View attachment 339354View attachment 339355View attachment 339356View attachment 339357
mradi mzuri lakini wamepiga hela refu kupindukia. dr. dau na wenzake inabidi waeleze kwa nini bei kubwa ya kutisha kama hawajakula mpunga.Hongera JK huku Msimamiz Mkuu Dr Dau mnamtukana...wanadam viumbe wa ajabu sana
Siku zote pongezi hutolewa mtu anapofanya vizuri kwenye wajibu wake, ukiitunza vizuri familia yako utapongezwa, mtu huyo huyo akiacha familia yake Na kuhudumia familia nyingine ambayo sio wajibu wake atalaumiwa na jamii. Watu hupongezwa makazini mwao kufanya kazi viizuri, ingawa wajibu wao na wanalipwa kwa kazi hiyo. Sababu wakupongezana Ni sababu kila anahusika alitaliwa apafikie ulipofikia, lakini wengine hawakupafikia. Aidha kwa Bahati mbaya, uzembe, mfano mtu ananunua gari, akijenga nyumba hupongezwa ingawa Ni wajibu wake maana vinansaidia yeye. Na hakuna utakae kupongeza eti uache kwenda kazini kwako alafu uende ukafanye kazi sizokuhusu Ili upongezwe.Yaani kama UDOM,ilivyo but Dau haonekani na jema hata! Hizi chuki hizi aliyezianzisha Mungu atamlipa anachostahili!
Hata nyerere hakua msafi 100%nae alikua na madhaifu yake,sio yeye tu wote waliofuatia nao wanamapungufu yao,hata mwenyekiti wenu nae anamapungufu yake ya kiuongozi,acha chuki.Namimi iko siku ntakuwa mkuu katika nchii hii, piga dili mwanzo mwisho ukikaribia kutema funguo za white house unamalizia na barabara ya kilomita 5, tuone wasikuabudu kwa kukushukuru na kukisahau kile ulicho watendea.
Hujui maana ya neno pongezi,jukumu la mshambuliaji uwanjani ni kufunga goal akifunga kwanini tunamshangilia kwa pongezi za hali ya juu?hiyo ni kazi yake kama rais sidhani kama anahitaji pongezi,Ila zile deal alizopiga na mwendo wa uongozi wake ulivyokuwa lazima nimponde.
Hapa naamini ulimaanisha wanaomtusi ila sio mimi,nimefunzwa heshima kwa wanaojiheshimu,asante pia kuwakumbusha vilaza.Hongera JK huku Msimamiz Mkuu Dr Dau mnamtukana...wanadam viumbe wa ajabu sana