Hongera Kanisa la Sabato analosali Heche makamu mwenyekiti CHADEMA kwa kutotoa tamko lolote la kisiasa kwenye ibada zenu

Hongera Kanisa la Sabato analosali Heche makamu mwenyekiti CHADEMA taifa kwa kutotoa tamko lolote la kisiasa kwenye ibada zenu zote za Sabato
TEC na tamko lao la kisiasa limedoda ndio maana Wapare wamelikataa kanisa mpaka wamefunga Parokia. Chezea Wapare wewe!! 🤣🤣

IMG-20250419-WA0008.jpg
 
Kanisa la SDA wanapaswa kukemea maovu yanayofanywa na Serikali na Chama cha CCM, japo halifungamani na siasa, navyojua wasabato ni watu wastarabu na wenye utaratibu sana kwenye Ibada zao, Haki huleta Amani, bila Amani hata makanini hatuwezi kwenda
Kemeeni ukandamizwaji wa haki ili amani itamalaki
 
Wasabato nimewahi kuwauliza kuhusa siasa wakaniambia wao ni wapatanishi kama yesu alivyoesema kuwa "heri wapatanishi kwa maana hao wataitwa wana wa Mungu...." Hivyo hawana chama wako busy na mambo na hata heche anajua hawezi akapata sapoti kwenye kanisa
 
USIWAINGIZE KWENYE HUU USENGE WENU WA KUAMINISHA WATU KUWA HAWA MAASKOFU UCHWARA WAPO SAHIHI..
MISINGI YA SDA NI BIBLIA NA LESONI NA SIYO ILANI YA VYAMA NA SDA SI DHEHEBU LA HARAKATI BALI NI DHEHEBU LA INJILI..
 
Wasabato nimewahi kuwauliza kuhusa siasa wakaniambia wao ni wapatanishi kama yesu alivyoesema kuwa "heri wapatanishi kwa maana hao wataitwa wana wa Mungu...." Hivyo hawana chama wako busy na mambo na hata heche anajua hawezi akapata sapoti kwenye kanisa
Siku ikitokea Heche akawa rais,utaona wanavyojipendekeza kwake,
Ulichosema ni sahihi maana hata rais wa Zambia 🇿🇲 ni Msabato kipindi cha kampeni kanisa kama kanisa halikumsapoti lakini sasa hivi amekuwa kama lulu kwa kanisa, labda ni mfumo wao duniani uko hivyo,maana wasabato wamejikita sana kwenye injili na huduma za kijamii
 
BEN CARSON Kipindi anangombea urais wa marekani wala hawakuwa na habari nae....Heche akiwa na rais watamuona kama lulu kwa sababu ni rais na sio kitu kunginge hata samia akialikwa watampokea kama rais
 
Back
Top Bottom