Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,809 15,418 Apr 27, 2016 #1 Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema. Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU. Taarifa hizi ziwafikie: Baba yake Mwita Maranya, Madame B, King'asti, Blaki Womani, Arushaone, snowhite, Asprin, moniccca, kipipi, Asnam, Eiyer, Chachu Ombara, Mtei, Filipo, Preta. sweetlady
Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema. Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU. Taarifa hizi ziwafikie: Baba yake Mwita Maranya, Madame B, King'asti, Blaki Womani, Arushaone, snowhite, Asprin, moniccca, kipipi, Asnam, Eiyer, Chachu Ombara, Mtei, Filipo, Preta. sweetlady
B bonabana JF-Expert Member Mar 5, 2016 422 513 Apr 27, 2016 #2 Mkuu kwanza heshima yako nimefurahi sana kukuona baada ya miaka kibao. Hongera saaana dadangu charminglady.
Mkuu kwanza heshima yako nimefurahi sana kukuona baada ya miaka kibao. Hongera saaana dadangu charminglady.
Mtambuzi Platinum Member Oct 29, 2008 8,809 15,418 Apr 27, 2016 Thread starter #3 bonabana said: Mkuu kwanza heshima yako nimefurahi sana kukuona baada ya miaka kibao. Hongera saaana dadangu charminglady. Click to expand... Nipo sana Mkuu sama tu wajukuu wanasumbua sana ndiyo sababu ya kuadimika.
bonabana said: Mkuu kwanza heshima yako nimefurahi sana kukuona baada ya miaka kibao. Hongera saaana dadangu charminglady. Click to expand... Nipo sana Mkuu sama tu wajukuu wanasumbua sana ndiyo sababu ya kuadimika.
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,815 49,041 Apr 27, 2016 #4 hongera charminglady Mungu akukuzie kababy kako
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 7,001 6,188 Apr 27, 2016 #5 Hongera zake sana. Nilikuwa namuona sana miaka ile MMU/ChitChat.
Blaki Womani JF-Expert Member Feb 28, 2011 11,229 13,441 Apr 27, 2016 #6 Hongera mpendwa Mungu amjalie siha njema nawe upati nguvu baada ya kazi nzuri
Dream Queen JF-Expert Member Nov 4, 2015 8,263 18,180 Apr 27, 2016 #7 Hongera na Pole Charming Lady, Mungu awajaalie afya njema.
M mumemwema JF-Expert Member Oct 20, 2014 2,094 1,580 Apr 28, 2016 #12 Congratulations charminglady.. May the Lord bless your baby .. I pray for the good Healthy and more wisdom in Jesus name...Amen ... Thanks...
Congratulations charminglady.. May the Lord bless your baby .. I pray for the good Healthy and more wisdom in Jesus name...Amen ... Thanks...
CharmingLady JF-Expert Member Apr 16, 2012 18,291 12,965 Apr 28, 2016 #13 Shukrani sana Mzee Mtambuzi, tunamshukuru Mwenyezi Mungu Twaendelea vyema.... Asante wanajamvi wote.... Mtambuzi said: Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema. Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU. Taarifa hizi ziwafikie: Baba yake Mwita Maranya, Madame B, King'asti, Blaki Womani, Arushaone, snowhite, Asprin, moniccca, kipipi, Asnam, Eiyer, Chachu Ombara, Mtei, Filipo, Preta. sweetlady Click to expand...
Shukrani sana Mzee Mtambuzi, tunamshukuru Mwenyezi Mungu Twaendelea vyema.... Asante wanajamvi wote.... Mtambuzi said: Wana MMU napenda kuwapa habari njema kwamba mwana MMU mwenzatu charminglady amejaaliwa kupata Baby Boy mwenye afya njema. Naomba tumpongeze na kumpa zawadi humu humu MMU. Taarifa hizi ziwafikie: Baba yake Mwita Maranya, Madame B, King'asti, Blaki Womani, Arushaone, snowhite, Asprin, moniccca, kipipi, Asnam, Eiyer, Chachu Ombara, Mtei, Filipo, Preta. sweetlady Click to expand...